Ticker

6/recent/ticker-posts

Uchangudoa ni jinai.



Kwa mujibu wa kifungu cha 145 & 146 cha Kanuni ya Adhabu, ni kosa la jinai kwa mtu mume au mtu mke, kuishi kwa kipato kitokanacho na biashara ya umalaya/Uchangudoa. Iwe kufanya mwenyewe, kusaidia wengine kufanya umalaya n.k

Adhabu ya kosa hilo ni kifungo jela kwa kipindi kisichozidi miaka mitano au faini au vyote kwa pamoja.

Chapisha Maoni

0 Maoni