Kwa mujibu wa kifungu cha 338 cha sheria ya kanuni ya adhabu, ni kosa la jinai kughushi hati miliki ya ardhi, adhabu yake ni kifungo cha maisha jela.
Nyaraka zingine ambazo zimetajwa katika kifungu hiki ni rekodi ya mahakama, hundi, noti za fedha n.k

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿