Ticker

6/recent/ticker-posts

Kuharibu mipaka ya ardhi jela miaka 3.



Kwa mujibu wa kifungu cha 329 cha sheria ya kanuni ya adhabu, ni kosa la JINAI kuondoa au kuharibu kwa nia ovu, alama au kitu kilichowekwa kuonyesha mipaka ya ardhi. Kosa hili adhabu yake ni kifungo jela miaka mitatu.

Chapisha Maoni

0 Maoni