Ticker

6/recent/ticker-posts

Maombi ya watu wenye magonjwa ya akili kuwekwa katika hospitali za watu wenye maradhi ya akili.



Kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha sheria ya magonjwa ya akili, endapo ndugu yako amepatwa na maradhi ya akili na unahitaji apelekwe kwenye hospitali ya watu wenye maradhi ya akili kwaajili ya uangalizi, unatakiwa kufanya maombi katika mahakama ya wilaya ya eneo ulipo na mahakama itasikiliza maombi hayo na kujiridhisha endapo mtu huyo ana changamoto ya akili.

Mahakama itatoa amri ya mtu huyo kuwekwa chini ya uangalizi katika hospitali ya watu wenye maradhi ya akili.

Chapisha Maoni

0 Maoni