๐ฉ๐ฉ๐ง๐ฆ Usawa Kati ya Wake – Kifungu cha 57, Sheria ya Ndoa.
Kwa mujibu wa sheria, mume aliyeoa wake wawili au zaidi anawajibika kuwaheshimu na kuwahudumia wote kwa usawa.
⚖️ Kila mke:
๐น Ana haki sawa kisheria.
๐น Ana wajibu sawa na wake wenzake.
๐น Ana hadhi sawa mbele ya sheria, bila ubaguzi wowote.
๐ Sheria hii inalenga kuondoa ubaguzi kati ya wake katika ndoa za mitala.
#UsawaKisheria #NdoaYaMitala #SheriaYaNdoa #HakiZaWake #JunguLaSheria ๐น๐ฟ

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. ๐น๐ฟ