💍 Ndoa Inapaswa Kuwa ya Hiari Ili Ikubalike Kisheria.
Kwa mujibu wa kifungu cha 16 cha sheria ya ndoa Tanzania, hakuna ndoa inayotambulika kisheria isipokuwa ile iliyofungwa kwa hiari ya pande zote mbili. 👩❤️👨
🛑 Ndoa si halali kama mmoja wa wanaooana:
Amelazimishwa au kudanganywa;
Alikuwa na matatizo ya akili au amelewa kiasi cha kushindwa kuelewa uzito wa tukio aliloshiriki.
#NdoaYaHiari #SheriaYaNdoa #HakiZaNdoa #JunguLaSheria 🇹🇿

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿