Kwa mujibu wa kifungu cha 15 cha sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 ni kosa la jinai kutumia utambulisho wa wajina ya mtu mwingine katika mtandao au mfumo wa kompyuta bila uhalali maalumu.
Adhabu ya kosa hilo ni faini isiyopungua shilingi milioni 5 au mara tatu ya faida iliyopatikana kupitia kutumia majina hayo.
#elimikasheria
Jungu la sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿