WATU HUCHANGANYA KATI YA AINA ZA NDOA NA NAMNA ZA UFUNGAJI WA NDOA.
Aina za ndoa ni hizi;
1. Ndoa ya mke mmoja (Hii ni ndoa ambayo mwanaume huwa na mke mmoja tu)
2. Ndoa ya mke zaidi ya mmoja au ndoa ya wake wengi (Hii ni ndoa ambayo mwanaume ana mke zaidi ya mmoja)
Namna za ufungaji wa ndoa ni hizi;
1. Ndoa za kidini
2. Ndoa za kimila
3. Ndoa za kiserikali
4. Ndoa itokanayo na dhana ya ndoa pale mwanaume na mwanamke wanapoishi ndani ya nyumba moja kwa kipindi cha miaka miwili na zaidi na kupata hadhi kama wanandoa.
Tutumie ujumbe mfupi au piga simu kwa 0758218269 kwa chochote.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿