Mambo ya kuzingatia kwa wanandoa ili ndoa yao ikubalike kisheria.
1. Ni lazima muungano uwe wa hiari (ndoa hailazimishwi kwa namna yoyote).
2. Muungano uwe ni kati ya mwanaume na mwanamke.
3. Muungano huo uwe unakusudiwa kuwa wa kudumu.
4.Wafunga ndoa wasiwe maharimu (maharimu ni watu wenye mahusiano ya karibu ya damu).
5.Wafunga ndoa lazima wawe wametimiza umri unaokubalika kisheria.
6. Kusiwe na ndoa inayoendelea.
7. Kusiwe na pingamizi.
8. Mfungishaji ndoa kutokuwa na mamlaka.
9. Kutokuwepo kwa wafunga ndoa.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿