Ticker

6/recent/ticker-posts

Haki na wajibu katika ndoa.


HAKI NA WAJIBU KATIKA NDOA.

1. Matunzo (mke au wake wanahaki ya kutunzwa na mume)
2. Kumiliki mali (mke au mume ana haki ya kumiliki mali zake binafsi)
3. Haki ya kukopa kwa dhamana ya mume (mke ana haki ya kukopa kwa dhamana ya mume, ni lazima akope kulingana na uwezo wa kiuchumi wa mume)
4.Haki ya kuishi katika nyumba ya ndoa.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni