SABABU ZA MAHAKAMA KUTOA TALAKA.
1.Ugoni (zinaa nje ya ndoa)
2.Ukatili (kuumiza mwili au nafsi ya mwanandoa)
3.Kulawiti (mapenzi kinyume cha maumbile)
4.Kichaa (mwanandoa akipata ukichaa)
5.Kuzembea wajibu wa ndoa kwa makusudi
6.Uasi (mwanandoa kuhama nyumba ya ndoa)
7.Dhana ya kifo (kutoonekana kwa mwanandoa zaidi ya miaka mitano bila sababu ya msingi)
8. Kifungo (zaidi ya miaka mitano jela)
9.Tofauti za imani za kidini (endapo mwanandoa atabadili dini bila idhini ya mwenzake).
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿