Ticker

6/recent/ticker-posts

Njama za kuua, jela miaka 14.



Kwa mujibu wa Sheria ya kanuni ya adhabu, Sura ya 16, Kifungu cha 215, kupanga njama ya kumuua mtu yeyote, iwe mtu huyo yupo Tanzania Bara au sehemu nyingine yoyote, ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo jela miaka kumi na minne.

Chapisha Maoni

0 Maoni