Ticker

6/recent/ticker-posts

Kukopesha mtandaoni bila kibali jela miaka 5.



Kwa mujibu wa Sheria ya huduma ndogo za fedha, Sheria No. 10, Kifungu cha 16(2)(a) kukopesha fedha mtandaoni bila kibali ni kosa la jinai, na adhabu yake ni faini isiyopungua Milioni 20 na isiyozidi Milioni 100 au kifungo kisichopungua miaka 2 lakini kisichozidi miaka 5 au vyote kwa pamoja.

Chapisha Maoni

0 Maoni