Ticker

6/recent/ticker-posts

Ni jukumu la mkuu wa kaya kuhudumia watoto katika familia yake.



Kwa mujibu wa Sheria ya kanuni ya adhabu, kifungu cha 207, ni jukumu la mkuu wa kaya au familia kuhakikisha anatoa mahitaji ya msingi ya watoto katika kaya yake. Endapo mtoto anapata athari kutokana na kukosekana kwa huduma hizo, mkuu wa kaya atahesabika kuwa amesababisha athari hizo.

Chapisha Maoni

0 Maoni