Ukatili Dhidi ya Watoto ni Kosa! 🚨
Mtu yeyote anayemtelekeza, kumtesa, au kumsababishia mtoto chini ya miaka 18 madhara ya kiafya, ikiwa ni pamoja na ukeketaji, anafanya kosa la jinai.
Adhabu: Kifungo cha miaka 5 - 15 au faini hadi TZS 1,000,000, pamoja na fidia kwa mtoto aliyeathirika.
🔹 Linda haki za watoto! 🛑 #HakiZaWatoto #StopUkatili #SheriaTanzania

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿