Ticker

6/recent/ticker-posts

Ndoa ya udanganyifu jela miaka 5.



Kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya adhabu, kifungu cha 165, ni kosa la jinai kwa mtu yeyote kufanya sherehe ya ndoa kwa nia ya kudanganya kwamba amefunga ndoa huku akijua kuwa ndoa hiyo si halali kisheria.

Mfano. Kufunga ndoa mpya wakati ndoa yako ya awali haijavunjwa kisheria. Adhabu kifungo cha miaka 5 jela.

Chapisha Maoni

0 Maoni