Ticker

6/recent/ticker-posts

Maana ya kiapo au affidavit.


UNAJUA MAANA YA KIAPO AU AFFIDAVIT?

Kiapo ni nyaraka ya kimahakama ambayo hutumiwa kuweka tamko la kimaandishi au kiapo ambacho baadae huweza kutumika Kama ushahidi mahakamani.

Nyaraka hii huandaliwa kisheria, na huwa na maelezo au taarifa ambayo mwapaji huithibitisha kwa maandishi na kushuhudiwa na wakili au afisa wa viapo.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni