Ticker

6/recent/ticker-posts

Aina za kesi. Na Johnson Yesaya


AINA ZA KESI
Kuna aina kuu mbili za kesi ambazo zinafahamika kote duniani.

1. Kesi za madai, hizi ni kesi ambazo lengo kuu huwa ni madai, na watu wanaohusika katika kesi hizi ni raia kwa raia au raia kuidai serikali au serikali kudai raia. hapa mshitaki huwa ni baina ya raia au raia kuishtaki serikali mahakamani kwa madai ya kitu fulani.

2. Kesi za jinai, hizi ni kesi ambazo mshtaki huwa ni serikali dhidi ya raia, mtu binafsi hawezi kufungua kesi ya jinai ni serikali tu ambayo inaweza kushtaki kwa makosa ya jinai.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni