Mwanasheria ni mtu yeyote mwenye shahada ya sheria au degree kwa lugha ya kiingereza, pia haruhusiwi kufanya kazi za uwakili kwakuwa hajapitia mafunzo ya shule ya sheria yaani (LAW SCHOOL)
Wakili ni mtu yeyote mwenye shahada ya sheria au degree kwa lugha ya kiingereza pamoja na mafunzo katika shule ya sheria yaani (LAW SCHOOL), wakili huwa anaidhinishwa kufanya kazi za utetezi na zinginezo katika mahakama zetu.
Kama unafahamu tofauti yeyote nyingine, unakaribishwa kushiriki...
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿