Kwa kukujuza ni kuwa, ndoa haiondoi umilikaji wa mali binafsi kwa mwanandoa, kama mke au mume alikuwa na mali fulani kabla ya ndoa mali hiyo inabaki kuwa yake peke yake hata baada ya ndoa.
Mali zinazopatikana kwa nguvu ya wanandoa wote wawili hizo huwa ni mali za pamoja na zinamilikiwa na wanandoa wote wawili.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿