Je unajua kuwa sheria ya ndoa ya Tanzania hairuhusu mwanandoa kuuza mali ya familia bila maridhiano na mwanandoa mwingine?
Mali yoyote inayopatikana kwa nguvu ya wanandoa wote wawili na inayomilikiwa kwa pamoja haiwezi kuuzwa bila maridhiano ya wanandoa wote na haiwezi kuuzwa bila mke au mume kujulishwa na kuridhia hayo.
Kifungu cha 59 cha sheria ya ndoa kinaelekeza hayo.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿