Sheria ya ardhi namba 4 ya mwaka 1999 kifungu cha ishirini, kinatoa katazo kwa mtu ambae sio raia wa Tanzania kumiliki ardhi.
Sheria inatoa mwanya kwa wawekezaji pekee kuweza kutumia ardhi kupitia uwekezaji ambapo ardhi hutolewa kwao kwa matumizi ya uwekezaji tu na sio umilikaji.
Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿