Ticker

6/recent/ticker-posts

Kuchoma moto mazao, jengo au gari.


Je Unajua kuwa kuchoma JENGO, GARI au MAZAO ni kati ya makosa makubwa kisheria?

Kuwasha moto jengo, gari au sehemu enye mazao kwa nia ovu ya kusababisha uharibifu ni kosa kisheria na adhabu yake ni kifungo cha maisha endapo mshtakiwa atakutwa na hatia.

KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU NO 319.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni