Ticker

6/recent/ticker-posts

Ubaguzi mahala pa kazi.


UBAGUZI MAHALI PA KAZI.

Je unajua kuwa sheria ya Ajira na mahusiano kazini inazuia ubaguzi wa aina yoyote mahala pa kazi?

Kwa mujibu wa sheria ya kazi, mfanyakazi hatakiwi kubaguliwa kutokana na sababu yoyote kati ya zifuatazo;

1. Rangi
2. Utaifa
3. Kabila
4. Eneo la kuzaliwa
5. Mtazamo wa kisiasa
6. Jinsia
7. Ujauzito
8. Ulemavu
9. Ukimwi
10. Umri
11. Hali ya kimaisha

Endelea kuwa nasi, sambaza kwa rafiki zako.

Jungu Attorneys at Jungu La Sheria Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni