Ticker

6/recent/ticker-posts

Ardhi mikononi mwa rais.



SHERIA YA ARDHI SURA NO 113, 2018 KIFUNGU CHA NNE (4).

Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma na imewekwa chini ya usimamizi wa Rais wa Tanzania kwa niaba ya watu wote.

Rais ndiye mwenye mamlaka ya kugawanya ardhi kwa watu, pia ana mamlaka ya kufuta haki za matumizi ya ardhi au kubadili kabisa matumizi ya ardhi.

Ardhi unayoikalia sio mali yako, umepewa haki ya kuitumia tu na inaweza kubadilishwa matumizi kadri rais atakavyoona inafaa.

Chapisha Maoni

0 Maoni