Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai SURA YA 20 KIFUNGU CHA 26 kinaelekeza kwamba;
Inapotokea kuna uhitaji wa kumkagua au kumpekua mwanamke ili kubaini vitu alivyonavyo mwilini mwake au katika mavazi yake, Basi upekuzi huo ufanywe na mwanamke mwenzie kwaajili ya kulinda heshma ya mwanamke anayepekuliwa
Kifungu hicho kinasema "Wakati ambapo ni muhimu kwa mwanamke kupekuliwa, upekuzi lazima ufanyike na mwanamke mwingine kwa heshima zaidi."
#junguattorneys
#junguupdates
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿