Ticker

6/recent/ticker-posts

AINA TANO ZA WABUNGE TANZANIA. Na Johnson Yesaya. LL.B



KATIBA: AINA TANO ZA WABUNGE TANZANIA.

IBARA YA 66(1) YA KATIBA YA TANZANIA YA MWAKA 1977.

1. Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi.

2. Wabunge wanawake wanaopendekezwa na vyama vyao.

3. Wabunge watano waliochaguliwa na Baraza la Wawakilishi (Zanzibar) kutoka miongoni mwa wajumbe wake.

4. Mwanasheria Mkuu.

5. Wabunge wasiozidi kumi walioteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa kwa mujibu wa ibara ya 67, isipokuwa sifa iliyotajwa katika ibara ya67(1)(b).

#junguupdates
#sheria
#katiba
#ijuesheria

Chapisha Maoni

0 Maoni