UTEKELEZAJI WA ADHABU YA KIFO.
KIFUNGU CHA 26 CHA KANUNI YA ADHABU SURA YA 16.
Pale mtu yeyote amehukumiwa kifo, hukumu hiyo itaelekeza kwamba mtu huyo anyongwe kwa kitanzi mpaka afe:
Isipokuwa kwamba, endapo mwanamke aliyehukumiwa adhabu ya kifo atakuwa mjamzito, mahakama itachunguza ukweli huo na, endapo mahakama itajiridhisha kuwa ni mjamzito adhabu itakayotolewa dhidi yake
itakuwa ni kifungo cha maisha badala ya adhabu ya kifo.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿