Ticker

6/recent/ticker-posts

JE! UNAKUBALIANA NA ADHABU YA KIFO? NINI MAONI YAKO?



Pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanywa na Taasisi mbalimbali za #hakizabinadamu ndani na nje ya Tanzania katika kukomesha adhabu ya kifo, bado adhabu hiyo inaendelea kutolewa. 

Tanzania na nchi kadhaa barani Afrika bado zimeendelea kuwa na hukumu/adhabu ya kifo kwa kunyongwa. Nchi ya SIERRA LEONE imefanikiwa kuondoa adhabu hiyo katika sheria za nchi yao siku za hivi karibuni kutokana na adhabu hiyo kudaiwa kuwa kinyume na haki za Binadamu.

Mashirika mbalimbali ya haki za binadamu kama @humanrightswatch @unitednations @amnesty @amnestyinternationaltz wamefanya juhudi kuindoa adhabu hii na juhudi zinaendelea.

Nini MAONI YAKO kuhusu adhabu ya kifo.

Chapisha Maoni

0 Maoni