Ticker

6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA NCHI YENYE MFUMO WA VYAMA VINGI.



IBARA YA 3 (1) na (2)

 3.-(1)  Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa. 

(2)  Mambo yote yahusuyo uandikishaji na uendeshaji wa vyama vya siasa nchini yatasimamiwa kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na ya sheria iliyotungwa na Bunge kwa ajili hiyo.

Chapisha Maoni

0 Maoni