BRELA ambayo ni Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni ni taasisi ambayo inahusika na usajili wa makampuni Tanzania. Mwaka wa 2018, BRELA ilikamilisha uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa Njia ya Mtandao (BRELA ORS). Mfumo huu unakuwezesha kusajili biashara kwa haraka zaidi ukiwa popote duniani.
Sisi @jungu_la_sheria_tanzania tunakusaidia kurahisisha usajili wako kwa haraka zaidi kwani tuna uzoefu mkubwa wa kutumia mfumo huu uitwao ORS. KARIBU.
#ORS
#BRELA
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿