Ni taratibu zipi za kupata nakala ya cheti cha kuzaliwa baada ya kupotea?
1.Toa maelezo sahihi yafuatayo:
2.Jina la mtoto
3.Jina la baba.
4.Jina la mama.
5.Mahali pa kuzaliwa.
6.Tarehe sahihi ya kuzaliwa na usajili.
7.Tarehe kilipotolewa iwapo kuna uwezekano.
8.Nakala ya cheti hicho kama ipo.
Ada halisi ya Tsh. 3500/=
0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿