Ticker

6/recent/ticker-posts

POLISI ANARUHUSIWA KUUA WAKATI WA MAANDAMANO BAADA YA TAMKO LA KUTAWANYIKA KUTOLEWA.

 


Kwa mujibu wa kifungu cha 78(1) cha KANUNI YA ADHABU SURA YA 16.


Wakati wa maandamano na baada ya kupita muda baada ya tamko la kutawanyika kutolewa, polisi au afisa yeyote anayehusika katika kutuliza ghasia anaweza kutumia nguvu ya kiwango chochote kwaajili ya kuzima ghasia hizo, anaweza kujeruhi hata KUUA na sheria inamkinga dhidi ya mashtaka ya Jinai au madai.


Imeandikwa na mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa

Wa Jungu la sheria Tanzania

0758218269/0628729934.

Chapisha Maoni

0 Maoni