Kwa mujibu wa SHERIA za Tanzania, baadhi ya watumishi wa umma na viongozi wa mihimili wamepewa KINGA ya kisheria ya kutokushtakiwa kabisa au kushtakiwa kupitia mwanasheria mkuu wa serikali, katika makosa ambayo wamefanya wakiwa wanatekeleza majukumu yao. Watu hao ni Rais, Makamo wa Rais, Waziri Mkuu, Spika na naibu spika wa bunge la Tanzania, Majaji na watumishi wa mahakama.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿