Ticker

6/recent/ticker-posts

Ukatili kwa MTOTO.



UKATILI kwa mtoto ni kumnyima mtoto chakula, kupuuzia afya yake kwa kutompatia matibabu anapougua, kumtelekeza , kumkeketa au kusaidia watu wengine kumkeketa mtoto, kwa tendo lolote kumsababishia MTOTO ulemavu n.k Kosa la UKATILI ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo kuanzia miaka mitano jela au faini isiyozidi milioni moja pamoja na kulipa fidia kwa mhanga wa UKATILI.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni