Ticker

6/recent/ticker-posts

MWANAMKE au MWANAUME haruhusiwi kufunga ndoa mpya endapo ndoa yake ya awali ipo hai.



MWANAMKE au MWANAUME haruhusiwi kufunga ndoa mpya endapo ndoa yake ya awali ilikuwa ndoa ya MKE au MUME mmoja. Ndoa yoyote mpya itakayofungwa na mwanandoa ambaye tayari ana ndoa ya mwanzo ambayo haijavunjwa na mahakama na bado ipo hai, NDOA hiyo mpya itakuwa batili kwa mujibu wa SHERIA ya ndoa ya Tanzania.


KIFUNGU cha 15(a) cha sheria ya ndoa ya Tanzania.


#sherianatehama 

#sheriayandoa

Chapisha Maoni

0 Maoni