AJALI za BARABARANI zimekuwa zikiwaacha wahanga wake wakiwa vilema wa maisha au kusababisha VIFO kabisa wakati mwingine. SASA, sheria za Tanzania zinaruhusu MTU aliyeathiriwa na AJALI au ndugu zake endapo KIFO kimetokea, kudai FIDIA kutoka katika kampuni ya BIMA ya chombo kilichosababisha AJALI.
#sherianatehama
#sheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿