Ticker

6/recent/ticker-posts

Kuiba mtoto kosa la jinai.



KUIBA mtoto ambaye si wako ni kosa la JINAI lenye adhabu ya MIAKA 7 JELA. Sheria inasema, MTU yeyote anayemchukua mtoto wa mwingine kwa nguvu, ushawishi ovu au udanganyifu, au kupokea mtoto ambaye anajua kuwa amechukuliwa kwa nguvu, kwa lengo la kumuondoa mtoto huyo kutoka katika mikono ya wazazi au waangalizi wake anafanya KOSA la JINAI.


KIFUNGU cha 169(1) cha Kanuni ya Adhabu SURA ya 16.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni