Ticker

6/recent/ticker-posts

UNAWEZA kumshtaki JIRANI yako au MTU yeyote ambaye anafanya kitendo kinacholeta KERO au USUMBUFU



UNAWEZA kumshtaki JIRANI yako au MTU yeyote ambaye anafanya kitendo kinacholeta KERO au USUMBUFU, kinachoathiri haki yako ya kufurahia utulivu katika ardhi yako au nyumba yako kwa mfano JIRANI anaposababisha KELELE KUBWA, MOSHI AU HARAFU MBAYA, anapotiririsha maji machafu kuja kwako, anapo sababisha mitikisiko kwa kushusha vitu vizito katika eneo lake n.k


Kila MTU amepewa HAKI ya kufurahia utulivu katika eneo lake, vitendo vyote vinavyoathiri utulivu  huo vinaweza kushtakika.


#sherianatehama

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni