Ticker

6/recent/ticker-posts

Rufaa kutoka mahakama ya mwanzo.



Msomaji wetu anauliza. 


Je! Nikikata rufaa kutoka mahakama ya mwanzo napaswa kwenda mahakama ipi kwaajili ya kusikilizwa rufaa yangu kati ya mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi?


KIFUNGU cha 20 cha sheria ya mahakama za mahakimu kinaeleza kwamba.


Rufaa zote kutoka mahakama ya mwanzo zitapelekwa mahakama ya wilaya.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni