Ticker

6/recent/ticker-posts

Kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu



Kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu ni kosa la JINAI lenye adhabu ya kifungo cha mpaka miaka 5 JELA. Sheria inasema, MTU yeyote mwenye nia ovu anapodanganya au kupotosha ukweli fulani, na kwa uongo huo akapokea fedha zinazotokana na udanganyifu wake atakuwa ametenda KOSA la kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na adhabu yake ni kifungo cha miaka mitano JELA.


#sherianatehama 

#sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni