Ticker

6/recent/ticker-posts



Sheria ya NDOA inaruhusu wanandoa wa zamani kufanya sherehe nyingine mpya ya ndoa yao. Sheria imeweka muongozo kuwa, wanandoa wa zamani ambao tayari walishafunga ndoa na kufanya sherehe, wanaweza kuamua kufanya sherehe mpya ya ndoa yao lakini sherehe hiyo isiwe na lengo la kubadili hadhi ya ndoa yao ambayo ilifungwa AWALI.


#sherianatehama 

#sheriayandoa

Chapisha Maoni

0 Maoni