Ticker

6/recent/ticker-posts

Ni kosa la jinai kupokea, kuhamisha, kuficha, au kuuza mali iliyoshikiliwa au kukamatwa kwa amri ya mahakama.



KUFICHA AU KUHAMISHA MALI ILIYOKAMATWA KISHERIA NI KOSA 🇹🇿

Kwa mujibu wa Kifungu cha 118 cha Kanuni ya Adhabu [SURA YA 16 R.E. 2022], ni kosa la jinai kupokea, kuhamisha, kuficha, au kuuza mali iliyoshikiliwa au kukamatwa kwa amri ya mahakama kwa nia ya kuzuia utekelezaji wa amri hiyo.

⚠️ Adhabu:

Mtu atakayepatikana na hatia anaweza kufungwa hadi miaka mitatu.

#SheriaNaHaki ⚖️ #Tanzania 🇹🇿 #HeshimuMaagizo #Uwajibikaji

Chapisha Maoni

0 Maoni