Ticker

6/recent/ticker-posts

🔞 Umri wa Kufunga Ndoa kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania.

 


🔞 Umri wa Kufunga Ndoa kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania.

Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha Sheria ya Ndoa, na amri katika shauri la [Rebeca Z. Gyumi v. A.G Misc. Civ Case No. 5 of 2016], umri wa chini kabisa wa kufunga ndoa kisheria ni miaka 18 kwa mwanaume na mwanamke.

Ndoa inakosa uhalali ikifungwa chini ya umri wa miaka 18.

#SheriaYaNdoa #UmriWaNdoa #Tanzania #JunguLaSheria


Chapisha Maoni

0 Maoni