Je, wajibu wa kumtunza mwenza ni wa mwanaume tu? ❌
📌 Kifungu cha 63(b) cha Sheria ya Ndoa kinaweka wazi kuwa mke mwenye uwezo kifedha anawajibika kumtunza mume wake iwapo mume huyo amepoteza uwezo wa kujitafutia kipato kutokana na ugonjwa wa mwili au akili.
🔍 Hii ina maana kwamba jukumu la matunzo si la mwanaume peke yake—ni jukumu la mume na mke kulingana na uwezo wa kifedha na hali ya mwenza
#SheriaYaNdoa #WajibuWaMatunzo #UsawaNdaniYaNdoa #JunguLaSheria 🇹🇿

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿