Makubaliano ya Kuishi Mbali Katika Ndoa 📝💔 – Sheria Inasemaje?
Kwa mujibu wa Kifungu cha 67 cha Sheria ya Ndoa, wanandoa wanaweza kukubaliana kwa maandishi kuishi mbali na kila mmoja akaendelea na maisha yake kivyake, huku wakikubaliana kuhusu matunzo, malezi ya watoto na umiliki au mgawanyo wa mali za ndoa.
Makubaliano hayo ni halali kisheria, lakini mahakama inaweza kuyabatilisha iwapo:
1️⃣ Hali ya maisha imebadilika
2️⃣ Hayawasaidii watoto
#SheriaYaNdoa #MakubalianoYaKuishiMbali #jungulasheria

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿