Haki za Wajane 🕊️⚖️ – Sheria Inasemaje?
Kwa mujibu wa Kifungu cha 68 cha sheria ya ndoa, mjane ana uhuru wa kuamua mahali pa kuishi baada ya kifo cha mumewe, pia anaweza kuamua kubaki bila kuolewa au kuolewa tena na mwanaume wa chaguo lake.
⚠️ Ikiwa ndoa ilikuwa ya Kiislamu, lazima aheshimu kipindi cha iddat kabla ya kuolewa tena.
📜 Hii ni haki yako kisheria, na hakuna mila au desturi inayoweza kuiondoa.
#Sheria #HakiZaWanawake #Mjane #Iddat #Tanzania

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿