Ticker

6/recent/ticker-posts

Baada ya Talaka, watoto chini ya miaka 7 kukaa na mama.

 


💔 Kifungu cha 125 – Sheria ya Ndoa

📌 Baada ya talaka, mahakama huamua nani atakayemlea mtoto kwa kuzingatia maslahi ya mtoto kwanza.

👶 Mtoto chini ya miaka 7 kwa kawaida hukaa na Mama, ila kama ni kinyume na maslahi yake, mahakama inaweza kumpa Baba au ndugu wa karibu.

⚖️ Kila uamuzi unazingatia ustawi wa mtoto zaidi ya matakwa ya wazazi.

#Ndoa #Talaka #JunguLaSheriaTanzania

Chapisha Maoni

0 Maoni