Ticker

6/recent/ticker-posts

Mashauri yote ya talaka lazima yaanze kwenye Bodi ya Usuluhishi kabla ya kufunguliwa mahakamani.



💔 Kifungu cha 101 – Sheria ya Ndoa.

📌 Kwa mujibu wa sheria, mashauri yote ya talaka lazima yaanze kwenye Bodi ya Usuluhishi kabla ya kufunguliwa mahakamani.

⚠️ Lakini sharti hili sio lazima ikiwa:

1️⃣ Umetelekezwa au hujui alipo mwenzi wako.

2️⃣ Mwenza anaishi nje ya Tanzania.

3️⃣ Mwenza amekataa kuhudhuria Bodi kwa makusudi.

4️⃣ Mwenza yupo gerezani kifungo cha maisha au kuanzia miaka 5.

#ndoa #talaka #jungulasheriatanzania

Chapisha Maoni

0 Maoni