Ticker

6/recent/ticker-posts

Talaka haiombwi ndani ya miaka miwili ya mwanzo ya ndoa.



💔 Kwa mujibu wa kifungu cha 100 cha sheria ya ndoa:

📌 Sheria inazuia kufungua shauri la kuomba talaka ndani ya kipindi cha miaka miwili ya mwanzo ya ndoa, isipokuwa pale tu ambapo mwanandoa anakumbana na ugumu, hatari au ukatili mahakama kwa kibali maalumu itaruhusu shauri hilo kufunguliwa.

✍🏽 #Fidia #Ndoa #JungulaSheriaTanzania

Chapisha Maoni

0 Maoni